Injili

Sehemu ya 1: Vyanzo vya Injili

Luka Aeleza Mbinu Yake ya Utafiti

Katika wakfu wa maandishi yake, Luka anaeleza mbinu yake ya utafiti.

Biblica® Toleo Wazi Neno: Bibilia Takatifu™ (OKCV)

Luka 1:1–4

1:1 Kwa kuwa watu wengi wamekaa ili kuandika habari za mambo yaliyotukia katikati yetu, 2 kama vile yalivyokabidhiwa kwetu na wale waliokuwa mashahidi walioyaona na watumishi wa Bwana, 3 mimi nami baada ya kuchunguza kila kitu kwa uangalifu kuanzia mwanzo, niliamua kukuandikia habari za mambo hayo, ewe mtukufu Theofilo, 4 ili upate kujua ukweli kuhusu yale uliyofundishwa.